Unaweza kusema mwigizaji Joice Mbaga ‘Nicole Berry’ alikuwa na kiu ya kutumia mitandao ya kijamii. Hii ni baada ya kutupia ...
Alianza kufanya vizuri kwenye muziki akiwa bado ni kijana mdogo, uwezo wake wa kuandika mistari kwenzi na kuichana vilivyo ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho jana Machi 17, 2025 ilieleza kuwa ajenda kuu waliyoitiwa ni kaulimbiu yao ya ...
Kwa sisi tulio Tanzania, mwaka huu una mvuto wa kip­ekee tukiwa tunaadhimisha miaka 45 ya uhusiano baina ya nchi hizi mbili.
Changamoto kubwa inayojitokeza ni matumizi ya bodaboda katika vitendo vya uhalifu, hasa uporaji wa simu, pochi, na mizigo ya ...
Wizara ya Afya ya eneo la Gaza imethibitisha watu zaidi ya 100 kuuawa kwenye mashambulizi hayo huku mamia wakijeruhiwa.
Rungwe. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amemtaka Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, kufanya mazungumzo na kampuni ya Mohammed Enterprises ili irejeshe mashamba ...
Mamia ya wananchi wa ndani na nje ya Wilaya ya Chato mkoani Geita wameungana na familia ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, ...
Kama kuna msanii anadaiwa anapenda sana wanawake, basi ni Hemed PHD. Zaidi, alipenda kujinadi anapenda kujihusisha na wanawake tofauti kimahusiano na haipiti siku tatu bila kukutana na mmoja wao.
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mjadala ulioibuka kuhusu ushauri alioutoa kwa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) una tija.
Macha amesema baadhi ya wakulima na wafanyabiashara wamekuwa wakikwamisha kwa makusudi usajili kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani, kitendo kinachokwamisha juhudi za Serikali za ...