"Kabla ya mafunzo haya, nilikuwa na uelewa mdogo kuhusu mienendo ya soko na usimamizi wa fedha," amesema Flora, mfanyabiahara ...
DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imemhukumu Baraka Benedictor ,22, mkazi wa Sinza, kifungo cha miaka 30 jela ...
DAR ES SALAAM; KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeshauri serikali kuongeza usimamizi wa ujenzi wa miundombinu ya ...
DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
DAR ES SALAAM; TAASISI ya Al Hikma imesema itagharimia ndoa za vijana 200 ili watimize maagizo ya Mwenyezi Mungu Mtukufu. Pia ...
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, ameilaumu Ubelgiji kuchonganisha Rwanda na mataifa ya Afrika, na kusema yuko tayari kukabiliana ...
DODOMA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Benki ya Dunia anayeshughulikia ...
DAR ES SALAAM; LEO imetimia miaka minne tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kilichotokea katika Hospitali ...
GEITA; ASKOFU wa Jimbo Katoliki, Dayosisi ya Rulenge Ngara, Askofu Severine Niwemugizi ameongoza ibada ya Misa Takatifu ...
RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa atazungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kesho kuhusu kumaliza vita vya ...
KILIMANJARO: JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Kijiji ...
BANDARI kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza, Kibaha Pwani inatarajiwa kuhudumia shehena ya makasha 823 kwa siku. Msemaji ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果