Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika jijini Dar es Salaam, SP Awadh Chico umeagwa leo Machi 18, 2025 na askari wenzake pamoja na ndugu jijini Dar es Salaam. Vyuo vingi nje ya ...
Alianza kufanya vizuri kwenye muziki akiwa bado ni kijana mdogo, uwezo wake wa kuandika mistari kwenzi na kuichana vilivyo ulimpatia umaarufu kwa wasanii wengine hasa wa Hip Hop Bongo kabla ...
SP Awadh Chico alifariki kutokana na ajali ilitokea saa 1:20 asubuhi jana Jumatatu, Machi 17, 2025 katika Barabara ya Nyerere maeneo ya Pugu, Mwisho wa Lami jijini Dar es Salaam ...
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, mmiliki wa gari hilo, Gabriel Kiliki amesema baada ya tukio, waliambiwa baba wa marehemu anataka fidia Dola 3,200 (Sh8.47 milioni) ili Maganga aachiwe.
Katika mwezi huu watu walibadilishana sahani za vyakula na wengine kutoa misaada ya chakula, mavazi na pesa kuwapa wanyonge mitaani, madukani, katika nyumba za ibada na hata vijiweni.
Unaweza kusema mwigizaji Joice Mbaga ‘Nicole Berry’ alikuwa na kiu ya kutumia mitandao ya kijamii. Hii ni baada ya kutupia ...
Kupitia hilo kamati ilipendekeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuanzisha kanda maalumu ya biashara Kariakoo na kanzi data, ili kulifanya eneo hilo kuwa na ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho jana Machi 17, 2025 ilieleza kuwa ajenda kuu waliyoitiwa ni kaulimbiu yao ya ...
Wizara ya Afya ya eneo la Gaza imethibitisha watu zaidi ya 100 kuuawa kwenye mashambulizi hayo huku mamia wakijeruhiwa.
Kwa sisi tulio Tanzania, mwaka huu una mvuto wa kipekee tukiwa tunaadhimisha miaka 45 ya uhusiano baina ya nchi hizi mbili.
Mamia ya wananchi wa ndani na nje ya Wilaya ya Chato mkoani Geita wameungana na familia ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果