Simba na Yanga Princess zimekutana mara 13 ambapo Simba Queens imepata ushindi mara tisa, Yanga Princess imeshinda mbili na ...
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, mmiliki wa gari hilo, Gabriel Kiliki amesema baada ya tukio, waliambiwa baba wa ...
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Ramadhani Rugemalira, aliyesikiliza kesi hiyo, baada ya kuridhika na ushahidi ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama akizungumza na Mwananchi amesema tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 16, 2025.
Kwenye kikao hicho kilichoanza saa nne asubuhi na kuhitimishwa saa nane mchana, taarifa zinaeleza jopo la maofisa wa Ofisi ya ...
Mpina amesema katika kipindi hicho, pia kesi 287 za ukatili wa kijinsia ziliripotiwa katika vituo vya polisi vya wilaya hizo, ambapo wanawake waliofanyiwa ukatili walikuwa 252 na wanaume ...
Dar es Salaam. Hali ya kiuchumi ya mwanamke inategemea mambo mengi, lakini baadhi ya vipengele muhimu vinavyochangia mafanikio ni elimu, nidhamu, kujituma, kujiamini na uwepo wa rasilimali.
Miongoni mwa vipengele hivyo ni kuimarishwa kwa mfuko wa fidia ili kurahisisha ulipaji kwa haki, wakati na thamani halisi, pamoja na kutoa ruhusa kwa wawekezaji kutoka nje kujenga nyumba ...
Rungwe. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amemtaka Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, kufanya mazungumzo na kampuni ya Mohammed Enterprises ili irejeshe mashamba ...
Kama kuna msanii anadaiwa anapenda sana wanawake, basi ni Hemed PHD. Zaidi, alipenda kujinadi anapenda kujihusisha na wanawake tofauti kimahusiano na haipiti siku tatu bila kukutana na mmoja wao.
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mjadala ulioibuka kuhusu ushauri alioutoa kwa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) una tija.